Hatua za Ukuaji wa Kiroho

Hatua za Ukuaji wa Kiroho

Por Rev. David R. Wallis

Descarga inmediata

Formato

ePub

Protección

DRM

Idioma

Año Lanzamiento

2021

Sinopsis

Hiki ni kitabu ambacho ni msaada mkubwa sana kwa waamini, kwani kinatoa funguo muhimu na kweli muhimu zitakazomsaidia mwamini kukua katika kumjua Mungu. Kimejawa na miongozo mingi yenye kufaa katika mazingira halisi na ya kimaandiko, inayohusu ukuaji wa kiroho wa mwamini. Masomo yaliyotajwa hapo chini yametazamwa kwa upana: Nini maana ya kuokolewa Umuhimu wa Neno la Mungu Ubatizo wa maji, agizo Maombi, kipaumbele Umuhimu wa ushirika Umuhimu wa neema ya Mungu Ukombozi kutoka katika vifungo Kujawa na Roho Mtakatifu Inapendekezwa kwamba wachungaji, walimu, na viongozi wa kanisa wakitumie kitabu hiki. Kitabu hiki ni muhtsari wenye kujitosheleza kwa mada zenye kufaa ambazo zitajenga msingi mzuri kwa waamini. Pia, kitakupatia mpangilio mzuri wa muundo wa ufundishaji utakaokusaidia kuwafundisha na kuwafunza wale wote ambao Mungu amekupatia dhamana ya kuwalea.

Rev. David R. Wallis

Compatibilidad

El ebook Hatua za Ukuaji wa Kiroho está en formato ePub y se encuentra protegido con Adobe DRM.

  • En una PC o MAC: Descarga el programa gratuito Adobe Digital Editions y autorízalo con una cuenta ID de Adobe.
  • En un smartphone o tablet (iOS o Android): Descarga la app Aldiko Next o la app PocketBook.
  • En un lector de libros electrónicos (eReader): Verifica que acepte ebooks con DRM de Adobe.
  • Este eBook NO ES COMPATIBLE con Kindle.